
HEKIMA YA SIKU Mithali 12:1-4 1 Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa; Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama. 2 Mtu mwema atapata upendeleo kwa Bwana; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye. 3 Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu; Shina la mwenye…