Wapiganaji wa Taifa la Kiislam (ISIS) Wadai Fidia ya Dola Milioni 200 Kuwaachia Mateka wa Japan
Wapiganaji wa Taifa la Kiislam (ISIS) wametoa picha za video ambapo
wanatishia kuwaua mateka wawili wa Kijapan kama hawatalipwa Dola milioni
200 (Sh. Bilioni 358) katika muda wa saa 72 zijazo.
Mateka hao ni Kenji Goto Jogo mwandisi wa habari aliyekuwa anaandika kuhusu vita vya ndani vya Syria mwaka jana, na Haruma Yukawa mwanajeshi kutoka kampuni binafsi aliyekamatwa nchini Syria mwezi Agosti mwaka jana.
Tishio hilo limekuja baada ya Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe, kuahidi kutoa kiasi hichohicho cha fedha kama msaada usiokuwa wa kijeshi kwa nchi zinazopigana dhidi ya ISIS.

Video hiyo iliyosambazwa katika tovuti zinazohusiana na wapiganaji hao,
zilizomwonyesha mpiganaji mwenye lafudhi ya Kiingereza ambaye
anajulikana kama ‘Jihadi John’ aliyeonekana katika video za mauaji ya
kuwakata vichwa mateka David Haines, Alan Henning (Waingereza), na
James Foley na Steven Sotloff (Wamarekani) hivi karibuni.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.