0
ALIYEKUWA Mtangazaji wa vipindi vya Michezo wa radio Clouds Dar es Salaam, Ibrahim Masoud 'Maestro' leo amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Kituo maarufu hivi sasa cha radio hapa jijini Dar es Salaam cha EFM 93.7.

Maestro ameungana na magwiji wengine katika utangazaji wa vipindi vya michezo nchini wakiwemo Maulid Kitenge na Omary Katanga ambao wapo katika radio hiyo inayokuja kwa kasi jijini.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top