0
Wanawake wengi sasa hizi wanabehave vibaya wakiwa kwenye ndoa. Kabla ya kuolewa wanaficha makucha lakina baada ya kuolewa tu ndo unawajua tabia zao haalisi. Maana sasa hivi kila sehemu wanaume wanalalamika tu juu ya wake zao, utasikia mke anatoka home aagi anaenda wapi, anarudi usiku, hapendi ndugu, hapendi husaidie ndugu zako, gold diggers. Wengine wanafika mahali pa kuamua kutoa talaka.

Wake wa zamani walikua wavumilivu sana na walijua kuishi na wanaume. Mwanamke anaekubali kuolewa kwa ndoa ya maana ya ndoa halisi ni lazima apoteze uhuru wake. Sasa unakuta mke wa mtu lakini uhuru anaokuanao mpaka unashangaa. Raha ya mke ni kua na mke ambaye ni submissive to husband kinyume na hapo ni kero tu ni sawa na kuishi na mwanaume mwenzio.

Katika kuishi kwangu nimekuja kugundua wanaume wengi wenye wake wanaobehave kama wanaume wananyumba ndogo submissive ambazo wanazicare sana. Wanaamua kuishi kwenye fake marriage na kua na mchepuko uliotulia. Wanawake tubadilike otherwise talaka hazitaisha, na baada ya kupata talaka wanaanza kuomba kurudi tena.

Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment

 
Top